Thursday, May 31, 2012

MATUKIO MAWILI KWA MPIGO NDANI YA JIJI LA MUNICH JUMAMOSI HII



WAPENDA BURUDANI KAZI KWENU



Ikiwa zimesalia siku zipatazo mbili kufikia siku ya Jumamosi ya tarehe 2 mwezi june, wakazi wa jiji la Munich pamoja na maeneo ya jirani wanatarajia kupata burudani mbili za aina yake.


Mambo bado sound wakiwa wameshirikiana na malumbosjr.blogspot.de, wameandaa party ndani ya ukumbi wa Swing uliopo Maeneo ya Harras (Am Harras 2) huku muziki ukiporomoshwa na Dj Rama kwa kushirikiana na Dj Dully boy.


wakati huohuo The Mikocheni wakiwa wameandaa burudani kwa kuwaletea Party ya nguvu pia katika siku hiyihiyo (WHITE PARTY) ambayo itakuwa ikitokea pale maeneo ya Ostbahnhof katika ukumbi wa Storchenburg (Friedenstraße 10). Bila ya kusahau muziki kutoka kwa Dj Sidekickz akishirikiana na Dj Tindo.

                      WAPENDA BURUDANI KAZI KWENU

Saturday, May 26, 2012

DJ MAX KUWARUSHA WAKAZI WA NÜRNBERG MASAA MACHACHE YAJAYO




Ikiwa yamesalia masaa kama mawili na nusu hivi kutoka sasa, wakazi wa kitongoji cha Nürnberg katika jimbo la Bayern wanatarajia kupata burudani ya aina yake itakayoporomoshwa na The most wanted Dj Max.


Leo usiku kutakuwa na Pary ya nguvu ndani ya Club Festac 77, Zufuhrstr 20. Aina mbalimbali za muziki zitaletwa kwenu bila ya kinyongo kama vile BONGO FLEVA, GENGE, NAIJA FLEVA, LINGALA, MAPOUKA, RHUMBA, CHACHA, CHARANGA, SALSA, HIP HOP, R n B, DANCEH ALL bila ya kusahau miondoko ya KWAITO, TAARAB, MDUARA, MUGITHI na mingineyo kutoka pande mbalimbali za dunia



NYOTE MMEALIKWA NA KUKARIBISHWA KWA KIINGILIO CHA 5€ TU!

AFRICAN FESTIVAL NDANI YA WÜRZBURG ILIKUWA NOMAAAAA!!!!!!


Jana alikuwa ni pata shika nguo kuchanika kwa wapenzi wa burudani ndani ya jiji la Würzburg kwenye jimbo la Bayern nchini Ujerumani. Ni tamasha kubwa kabisa la kiafrika ambalo hufanyika kila mwaka na kwa mwaka huu lilianza jana 25-05-2012 na linatarajiwa kufikia kilele siku ya jumatatu ya tarehe 28 mwezi huu.




Ikumbukwe kuwa leo kutakuwa na Party kubwa zaidi ya kiafrika nje kidogo ya jiji la Würzburbug, ni kama mwendo wa lisaa tu katika jiji la NÜRNBERG (club fesrac 77) Zufuhrstr 20. Ambapo Dj Max atawakilisha kama kawaida
Tukutane Pamoja


BURUDANI MWANZO MPAKA MWISHO KUTOKA KWA DJ MAX

Thursday, May 17, 2012


NORWEGIAN NATIONAL DAY




 Iam very happy for Norway National day, i have a reason and power to send this greetings to my all my friends up there in Norway, Especial North Norway.


Oh my God! its for years now since i left that land, i miss my friends and my enemies up there. God bless you all. 


I must say "takk for alt, og Alt for Rognan"


IPO SIKU TUTAKUTANA TENA KAMA ILIVYOANDIKWA



Tuesday, May 15, 2012


BE PROUD OF BEING A KENYAN, BE PROUD OF AFRICA



TUNAHESABU SIKU KADHAA KWA WALE WAPENDA BURUDANI, REMEMBER THAT, THE DJ MAX ENTERTAINMENTS WILL INTRODUCE DJ LADY KIARIE FOR THE FIRST TIME AFTER TRAINING.


TUKUJE, TUPEWE, TULEWE........ KUBANJUKA NA KUKATIKA MPAKA MWISHO

Tuesday, May 8, 2012

               

                  MWALI ATUA MUNICH




hayawi hayawi sasa yamekuwa, kama picha inavyojieleza hapo juu kuwa yule mwali anaetarajiwa kuwaniwa kwa jasho mnamo wiki mbili zijazo katika jiji la Munich nchini Ujerumani ndo tayari ameshawasilishwa siku chache zilizopita.


Tuombe mungu atufikishe salama siku hiyo ya Mtanange: Amen














































Monday, May 7, 2012


BANJUKA NIGHT
in
NÜRNBERG



Next Saturday ( 12 may 2012) will be the night of Genge & Bongo fleva  at Club Festac 77 in Nürnberg.

Dont forget Naija fleva, Ndombolo, lingala, Hip Hop, R & B, Dancehall and Many more from Dj Max.

For only 5€ + Welcome drink
KARIBUNI SANA!!!

Saturday, May 5, 2012


TONIGHT
East Africans Night in Munich

 Hii ni kwa wale wanaopenda burudani, leo usiku kutakuwa na burudani ya aina yake ktk jiji la Munich hapa nchini ujerumani. Burudani hii ni mfululizo wa matukio ya burudani ya kila mwezi.
Dj Rama akiwa pamoja na Dj dully boy watacheza ngoma za nguvu ktk ukumbi wa Swing Cafe & bar, Am Harras 2. München Harras.
Pia bila kusahau Dj max nae kama kawaida yake ataendelea kuoa burudani ktk jiji la Nürnberg.

HAYA SASA WADAU KAZI KWENU

Kenyans Madaraka Day in Nürnberg


MADARAKA  DAY  IN  NÜRNBERG




Jimbo la Bayern nchini ujerumani linatarajiwa kupambwa na burudani ya aina yake katika kusherehekea sikuku ya Madara ijulikanayo kama Madaraka day. Burudani ya Muziki wa aina yake kutoka kwa ma Dj Maarufu nchini hapa (Ujerumani) Dj Rama akishirikiana na Dj Max ambae pia ni mmiliki wa kampuni ya The Dj Max Entertainments. Sambamba na lile kundi Maarufu la vijana machachari wa kuchezea moto na kuruka sarakasi maarufu kama Maasai Fire Acrobatics ambalo linaundwa na vijana wawili wa kikenya lenye makazi yake katika jimbo Bayern pia watatoa burudani siku hiyo.
Usikose ni Jumamosi ya Tarehe 16. 06. 2012 pale Club Festa 77, Zufuhrstr 20. Nürnberg (ndani ya jimbo la Bayern) Wote mmekaribishwa
NAJIVUNIA KUWA MKENYA