Saturday, December 21, 2013

BAYERN YACHUKUA KOMBE LA TANO MWAKA HUU!!!




Baada ya kuchukua triple yaani UEFA Champions League, DFB-Pokal na Deutsche Meisterschaft na pia European Supercup sasa FC Bayern München wameshinda pia Kombe la Dunia ya Maclub.

FC Bayern München vs Raja Casablanca
2:0




SIMBA YASHINDA YANGA 3:1


3:1
Simba line up: Ivo Mapunda, Haruna Shamte, Issa Rashid, Joseph Owino, Donald Musoti, Jonas Mkude, Haruna Chanongo, Henry Joseph, Amisi Tambwe, Said Hamis na Awadh Juma
Yanga line up: Juma Kaseja, Mbuyu Twite, David Luhende, Nadir Haroub, Kelvin Yondani, Athuman Idd , Mrisho Ngassa, Frank Domayo, Didier Kavumbagu, Hamis Kiiza, Haruna Niyonzima

Wafungaji:
Dakika ya 13: Amissi Tambwe (Simba)
Dakika ya 44:
Amissi Tambwe (kwa mkwaju wa penalti)
Dakika ya 64:
Awadh Juma (Simba)
Dakika ya 85: Emmanuel Okwi (Yanga)

DORTMUND NA LEVERKUSEN KUFUNGWA KATIKA MECHI YAO YA MWISHO KABLA YA WINTERPAUSE





Wednesday, December 18, 2013

FC BAYERN MÜNCHEN YAINGIA FAINALI YA CLUB WORLD CUP


Nusu fainali:

Guangzhou Evergrande FC vs Bayern München

0:3

Magoli:  
Ribery (40.)
Mandzukic (44.)
Götze (47.)


Mechi ya leo:

Raja Casablanca vs Atletico Mineiro

3:1


Wednesday, December 11, 2013

TIMU ZOTE ZILIZOINGIA LAST SIXTEEN YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2013/2014

Group A:
Manchester United
Bayer 04 Leverkusen

Group B:
Real Madrid
Galatasaray Istanbul

Group C:
Paris St. Germain
Olympiakos Piräus

Group D:
FC Bayern München
Manchester City

Group E:
FC Chelsea
FC Schalke 04

Group F:
Borussia Dortmund
FC Arsenal

Group G:
Atletico Madrid
Zenit St. Petersburg

Group H:
FC Barcelona
AC Mailand

TIMU NNE ZA UJERUMANI ZAINGIA LAST SIXTEEN, HONGERA SCHALKE NA DORTMUND!

FC Schalke vs FC Basel
2:0




Marseille vs Borussia Dortmund
1:2 


Saturday, November 23, 2013

TOP NEWS!!!! BAYERN AYASHINDA DORTMUND BAADA YA MUDA MREFU KATIKA BUNDESLIGA

Mario Götze akifunga timu yake ya zamani 0:1



MATOKEO 
BORUSSIA DORTMUND vs FC BAYERN MÜNCHEN
0:3

MAGOLI
Dakika ya 66: Mario Götze
Dakika ya 85: Arjen Robben
Dakika ya 87: Thomas Müller

Tuesday, November 5, 2013

FC BAYERN MÜNCHEN KUFIKISHA REKODI MBILI WIKI HII


Fc Bayern München wameweza kufikisha rekodi mbili wiki hii.
Jumamosi walivunja rekodi ya kucheza mechi 36 mfululizo bila kufungwa katika Bundesliga (walifikisha rekodi ya Hamburger SV ya miaka 30 iliyopita).

Na leo hii walifikisha rekodi ya Barcelona kushinda mechi 9 mfulilizo katika UEFA Champions League. Walifunga Viktoria Pilsen 1:0.  Hivyo wameshaingia last sixteen.

Saturday, October 19, 2013

LEVERKUSEN KUSHINDA KWA GOLI FEKI - TAZAMA KWA MAKINI



Goli hilo linatukumbusha goli feki la msimu 94/95 alilofunga Thomas Helmer katika mechi FC Bayern München vs 1. FC Nürnberg

Friday, October 4, 2013

TIMU ZOTE NNE ZA BUNDESLIGA ZASHINDA MECHI YA PILI KATIKA CHAMPIONS LEAGUE WIKI HII

FC Basel vs FC Schalke
0:1




Borussia Dortmund vs Olympique Marseille
3:0




Bayer 04 Leverkusen vs RS San Sebastian
2:1




Manchester City vs FC Bayern München
1:3



Thursday, September 26, 2013

EPIQ BONGO STAR SEARCH 2013 BADO INAENDELEA, BOFYA HAPA CHINI KUANGALIA LIVE SHOW YA KWANZA

MATOKEO YA ROUND YA PILI YA DFB-POKAL, BAYERN ASHINDA KAMA KAWA


Katika round ya pili ya DFB-Pokal (kombe la Ujerumani) hazijtakoea maajabu. Timu zote za Erste Bundesliga (daraja la kwanza) zilizocheza na timu za daraja la chini zilishinda. Katika mechi zote mbinu ni kwamba anayefungwa anatoka moja kwa moja kwa hiyo mechi zote ni kama fainali.Dortmund na Hoffenheim walipata taabu kidogo, imebidi waongezewe muda ili wachukue ushindi.

Sunday, May 26, 2013

MARIO MANDZUKIC, AWEKA HISTORIA KUWA RAIA WA KWANZA WA KROATIA KUFUNGA GOLI KWENYE FAINALI ZA CHAMPIONS LEAGUE



Ni mzaliwa wa Slavonski Brod nchini Kroatia ambaye ana umri wa miaka 27, kwa maana ya kuwa alizaliwa mwaka 1986 mwezi mei tarehe 21. Nyota yake imeanza kumeremeta zaidi msimu huu wa Bundesliga alipojiunga na FC Bayern akiwa anatokea Wolfsburg.Alizidi kujiongezea umaarufu siku hadi siku kwa umahiri wake wa kufunga angalau goli moja katika kila mechi aliyocheza na jana ameandika historia kuwa raia wakwanza kutoka Kroatia kupachika goli kwenye fainali za mabingwa wa Ulaya.

Friday, May 10, 2013

FC BAYERN WATAMBULISHA JEZI ZAO MPYA

KUTOKA NCHINI UTURUKI, MWAMUZI CUNEYT CAKIR NDIO ALIYECHAGULIWA KUCHEZESHA MECHI YA FAINALI YA MABINGWA WA ULAYA!




Ni raia wa uturuki ambae anasifika kumudu mikikimikiki ya mapambo kadhaa ya mpira wa miguu, pia huwa hana mzaha kwani ni mkali wa kutoa adhabu kali kama ambavyo picha inaonesha. Anaitwa Cuneyt Cakir ndio atakae kuwa mwamuzi siku ya tarehe 25 mwezi huu kunako dimba la Wimbley nchini Uingereza ambapo Nyota Nyekundu ya Kusini "The Bavarians" F.C BAYERN MÜNCHEN watakuwa wakitoana jasho na nyuki wa kaskazini magharibi BORUSSIA DORTMUND kuwania ubingwa wa kombe la ulaya.

NI DAKIKA TATU NA NUSU TU ZA VIDEO MPYA JAGUAR "KIPEPEO" KUTOKA NAIROBI KENYA

Wednesday, May 1, 2013

HUYU JAMAA NI BINAMU YAKE RIBERY AMBAE KWA MIAKA MINGI HAWAELEWANI KUTOKANA NA TABIA ZAKE ZA KIHUNI




Mpaka hivi sasa jina lake kamili halijafahamika, lakini ana mahusiano ya kibinamu na Ribery. Mara kadhaa amekuwa akimsumbua kwa kumfuata mazoezini, kambini au kwenye mechi ili kumuomba msamaha lakini hakuwahi kupata nafasi hiyo. ni mtoto ambaye familia inamuona kama mtukutu na kumchukia lakini baaada ya ushimdi na kuingia fainali kwa mara ya kwanza Frank Ribery alimuonesha tabasamu binamu yake na kumpa jezi.

Tuesday, April 23, 2013

BREAKING NEWS!!!!!!! MARIO GOTZE ATUA FC BAYERN MÜNCHEN KAMA ALIVYOPENDEKEZA GUARDIOLA



Mshambulia machachari raia wa ujerumani ambae alikuwa akikipiga ndani ya Borussia Dortmund, masaa kadhaa yaliyopita amemwaga wino kuthibitusha kuchezea ndani ya nyota nyekundu ya kusini mwa Ujerumani Fc Bayern München. Inaamini kuwa kifaa hicho ni mapendekezo ya kocha mpya anaetarajiwa kuanza kazi na Bayern msimu ujao Pep Guardiola, Amesema anakihitaji sana kifaa hicho kuongeza nguvu katika kikosi chake. Gotze ataanza rasmi kuitumikia Bayern msimu ujao huku akiwa amevitosa baadhi ya vilabu vya England kama Arsenal na Manchester United.



Mario Gotze ndani ya uzi wa Bayern

Sunday, April 21, 2013

OMMY DIMPOZ ATUA OSLO READY FOR THE SHOW!!!




Camera ya Dj Max ilimnasa Dimpoz akiwa kwenye poz na mwenyeji wake Dj Pred wa Norway:

Akitiririka wakati wa mahojiano nae, Dimpoz alifunguka kuwa kuna uwezekano wa kuongeza siku za ziara yake kutokana na maombi ya mashabiki na show kuongezeka. kwani katika ratiba yake hakukuwa na nchi kama Ujerumani lakini kutokana na maombi ya mashabiki Dimpoz anafikiria kubwaga show la nguvu ndani ya Bayern siku za hivi karibuni.



Mapoz yanaendelea:

Pia alisisitiza kuwa ana vitu muhimu vya kuwahi nyumbani kwahiyo hatoongeza muda mrefu sana, ikiwemo na kuhudhuria tuzo za muziki za Killi. "Naenda kuwafunika mwana, si unajua kuna tuzo zangu kadhaa na lazima nivunje record mwaka huu" alisema Dimpoz huku akitabasamu kuashiria kuwa anajiamini lakini katika hali ya utani.


Wednesday, April 3, 2013

WHITE PARTY IN NÜRNBERG ILIBAMBA KIAINA




So cute, pendeza sana




Kiustaarabu zaidi



All the way from England, BiG J




Kwaito la nguvu, nami nikajichanganya




Wamanga ndani!!!






Dj Max & Promota Malumbo




Watoto wa mjini mipango popote



Monday, March 25, 2013

VIDEO: KAJALA ALIPOINGIA URAIANI

BREAKING NEWS!!! KAJALA AINGIA URAIANI KUPITIA MIKONO YA WEMA SEPETU



Msanii wa Bongo Movie Kajala Masanja ambae alikuwa anakabiliwa na kesi ya jinai leo kesi hiyo ilisomwa na kutolewa hukumu mbele ya hakimu mkazi kunako mahakama ya kisutu jiji Dar es Salaam. Hakimu Sudi Fimbo alisoma hukumu hiyo ya kumtaka Kajala kwenda gerezani kwa kifungo cha miaka mitano au faini ya shilingi za kitanzania milioni 13. Inaaminika kuwa Wema Sepetu ndio aliojitolea kiasi hicho cha hela na kusababisha Kajala kuingia mtaani. Big Up to Wema Sepetu.

Sunday, March 24, 2013

MADEE AMPA SHAVU DIAMOND KWENYE VIDEO YA NGOMA YAKE MPYA "POMBE YANGU"





Baadhi ya picha zikionesha sehemu ya maandalizi ya kioo kipya cha super raper kutoka mitaa ya Manzese jijini Da er Salaam. Rais Huyo wa Manzese kama anavyotambulika pia amempa shavu rais wa wasafi Diamond Platnumz kwenye kideo hicho. 
Hata hivyo mmoja wa wadau wa kundi la TipTop ambalo ndilo kundi linalomtambulisha Madee, bwana Hamisi Talle "Bab Talle" amekaririwa akisema kuwa video hiyo itatoka hivi karibuni na itakuwa video hatari kwa ubora wake. "kaka tusiongee mengi wewe subiri utaona mwenyewe kazi ikitoka" alisema Talle hivi juzi kati kwa njia ya simu alipoongea na mwakilishi wa blog hii.