Tuesday, April 23, 2013

BREAKING NEWS!!!!!!! MARIO GOTZE ATUA FC BAYERN MÜNCHEN KAMA ALIVYOPENDEKEZA GUARDIOLA



Mshambulia machachari raia wa ujerumani ambae alikuwa akikipiga ndani ya Borussia Dortmund, masaa kadhaa yaliyopita amemwaga wino kuthibitusha kuchezea ndani ya nyota nyekundu ya kusini mwa Ujerumani Fc Bayern München. Inaamini kuwa kifaa hicho ni mapendekezo ya kocha mpya anaetarajiwa kuanza kazi na Bayern msimu ujao Pep Guardiola, Amesema anakihitaji sana kifaa hicho kuongeza nguvu katika kikosi chake. Gotze ataanza rasmi kuitumikia Bayern msimu ujao huku akiwa amevitosa baadhi ya vilabu vya England kama Arsenal na Manchester United.



Mario Gotze ndani ya uzi wa Bayern

Sunday, April 21, 2013

OMMY DIMPOZ ATUA OSLO READY FOR THE SHOW!!!




Camera ya Dj Max ilimnasa Dimpoz akiwa kwenye poz na mwenyeji wake Dj Pred wa Norway:

Akitiririka wakati wa mahojiano nae, Dimpoz alifunguka kuwa kuna uwezekano wa kuongeza siku za ziara yake kutokana na maombi ya mashabiki na show kuongezeka. kwani katika ratiba yake hakukuwa na nchi kama Ujerumani lakini kutokana na maombi ya mashabiki Dimpoz anafikiria kubwaga show la nguvu ndani ya Bayern siku za hivi karibuni.



Mapoz yanaendelea:

Pia alisisitiza kuwa ana vitu muhimu vya kuwahi nyumbani kwahiyo hatoongeza muda mrefu sana, ikiwemo na kuhudhuria tuzo za muziki za Killi. "Naenda kuwafunika mwana, si unajua kuna tuzo zangu kadhaa na lazima nivunje record mwaka huu" alisema Dimpoz huku akitabasamu kuashiria kuwa anajiamini lakini katika hali ya utani.


Wednesday, April 3, 2013

WHITE PARTY IN NÜRNBERG ILIBAMBA KIAINA




So cute, pendeza sana




Kiustaarabu zaidi



All the way from England, BiG J




Kwaito la nguvu, nami nikajichanganya




Wamanga ndani!!!






Dj Max & Promota Malumbo




Watoto wa mjini mipango popote